Dataset Viewer
audio
audioduration (s) 8.88
30.8
| duration
float32 8.88
30.8
| instruction
stringclasses 11
values | answer
stringlengths 21
504
| category
stringclasses 1
value |
|---|---|---|---|---|
17.34
|
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
|
ngombe waliosimama katika kivuli kilichoundwa kutumia mitikando yao kuna chakula kilicho andaliwa kwa ajili yao ambapo ni mabaki ya mahindi iliyokaushwa yamewekwa kama lishe yao
|
agriculture
|
|
22.92
|
Tafadhali andika kinachosemwa.
|
ngombe wenye rangi tofauti waliolala chini ishara kuwa wamo zizini ngombe mmoja mweusi amesimama na kando yao kuna nyasi ya rangi ya kijani na mahali walipolala kuna kinyesi cha ngombemandhari haya yakieleza kuwa ukulima bora unaendelea katika eneo hilo
|
agriculture
|
|
16.200001
|
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
|
ndizi mbili zilizowekwa mezani ndizi hizi zimeiva ndizi hizi zimekomaa vizuri hadi kwamba zimepasuka moja wapo ya ndizi ni kubwa kuliko nyingine ndizi hizi hazijaninginizwa mahali popote
|
agriculture
|
|
16.5
|
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
|
ni shambani ambapo kuna mimea ya mahidi mahidi haya ni mchanga mahidi haya yanaonekana kuwa na afya nzuri licha ya kwamba yanaonekana bado hayajapaliliwa kwa sababu mle katikati mna magugu
|
agriculture
|
|
17.639999
|
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
|
ni jikoni ambapo kumeninginizwa mahindi katika kamba mahindi haya yanaonekana kukaushwa kwa kutumia mbinu ya asili kwa kutumia moshi na joto la jikoni kando kando pale jikoni kuna kibuyu ambacho ni cha mafuta
|
agriculture
|
|
16.32
|
Tafadhali andika kinachosemwa.
|
ni shambani ambapo kuna mimea ya mahindimahindi haya yanaonekana kutokua na afya nzuri hii ni kwa sababu mahindi haya yameadhirika kutokana na ugonjwa fulani ambao mara nyingi huletwa na baridi jingi
|
agriculture
|
|
17.52
|
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
|
matawi ya mandizi yanaonekana yakiwa ya kijani na yanameta meta huku jua likiwa limewaka kwa kuwa tunaeza ona mawingu ya csbluecs mengine meupe kuashiria ya kwamba jua
|
agriculture
|
|
17.280001
|
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
|
ngombe nyeupe inakamuliwa maziwa na mwanamke aliyevaa nguo nyeusi maziwa yanatumika kutengeneza chai na mengine yanatumika kutengeneza cs youghurtcs
|
agriculture
|
|
25.799999
|
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
|
mwanamke anaye mwaga maji ndani ya mashini amevaa nguo nyeupe na barakoa na pia amevaa kilemba cha nywele kazi hii inafanyika kwa umakini kuonesha kilimo na umuhimu wa kuhifadhi
|
agriculture
|
|
18.9
|
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
|
rundo la ndizi mbichi zimekusanywa hapa zinaonekana nyingi sana miti ya ndizi iko nyuma yake ikiashiria kilimo cha ndizi katika eneo la kisii
|
agriculture
|
|
17.16
|
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
|
mkulima anamwaga maziwa safianafurahia akifanya kazi yakemitungi mingi ya maziwa imepangwa hapo ikiashiria ni eneo la ufugaji wa ngombe
|
agriculture
|
|
21
|
Tafadhali andika kinachosemwa.
|
ngombe wanne wapo katika biwi la taka wakiwa na pembe wote na wakona rangi kama vile kawia nyeusi nyeupe na mwingine hapo na rangi iliyo nyeusi na nyeupe
|
agriculture
|
|
20.219999
|
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
|
hawa ni ngombe ambao wanakamuliwa wamesimama kwenye zizi lao kuna wahudumu ambao wamefika hapa na galoni za kuhifadhia maziwa moja ameketi ama amechutama mwingine amesimama
|
agriculture
|
|
17.16
|
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
|
ni mikunga ya ndizi ambayo inaonyeshwa hapa una ile ambayo imeiva bado nisiwa kwenye mkomba tanyuma ya hizi ambazo inaiwa juma yake kuna mkunga ambao diyuwa kujali kibichi
|
agriculture
|
|
19.860001
|
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
|
kwanza mkunga mkuu unaonyeshwa katika mkunga huu wa ndizi unaonekana umekomaa nyuma ya hili kuna ndizi zingine ama kuna migomba ya ndizi ingine ambayo inaonekana katika shamba hili
|
agriculture
|
|
16.92
|
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
|
ni picha ya ndizi ambayo haijakomaa imeonyesha mkunga wenyewe kisha kando ya mkunga huu kuna matawi ya ndizi ambayo yanatumika kama dawa
|
agriculture
|
|
11.46
|
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
|
vijana wanafanya kazi kwa bidii wanapanda migomba shambani mazingira yanaonekana safi sana
|
agriculture
|
|
20.16
|
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
|
ngombe amefungwa na kisha amewekewa chakula ambacho anaendelea kulakuna mashine ambayo imewekwa pale ni ya rangi nyeusi kisha imewekwa kwa matiti inakamua maziwa
|
agriculture
|
|
20.58
|
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
|
ngombe wawili ambao wanarangi nyeusi na nyeupe wamesimama mbele yao kuna ndama ambao wamesimama pia na ndani ya zizi ambalo nadhani kuna ndama mwingine anayeonekana
|
agriculture
|
|
19.860001
|
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
|
huyu ni ngombe ambaye yuko katika hali kuzurura ngozini pale mwake anaonekana kuwa mwenye magonjwa mwanzo vidonda vimeinuka inuka pale mwilini mwake amefungwa mtini tayari kupokea labda huduma za usaidizi au kupumzika kutokana na jua kali ya siku
|
agriculture
|
|
19.200001
|
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
|
kundi la watu wakiwa kwenye shamba la ndizi wamezungukwa na rundo kubwa la ndizi mbichi zikiashiria mavuno wengi wamekaa chini wengine wamesimama wakifanya kazi au kupumzika
|
agriculture
|
|
18.360001
|
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
|
shamba kubwa la ndizi mtu mmoja akiwa anmevaa nguo nyekundu na kofia nyekundu amesimama katikati ya miti ya ndizi ndizi nyingi za kijani zimepachikwa kwenye miti
|
agriculture
|
|
17.58
|
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
|
ndama mweusi na mweupe amelala chini mwingine inafanana na iliyokufa inaonekana imelala sakafuni zote ziko kwenye csearthcs yenye udongo na nyasi chache
|
agriculture
|
|
18.42
|
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
|
csgundocs la ndizi mbichi za kijani zimetundikwa kwenye mti wa ndizi zikiwa zimezungukwa na majani yake ndizi hizi zitaiva na kuwa tayari kwa matumizi baadae
|
agriculture
|
|
19.799999
|
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
|
lori ya kusafirisha maziwa ya isuzu mtu mmoja amesimama karibu na mitundi mikubwa ya maziwa watu wengine wanaonekana nyuma karibu na lori wakifanya kazi ya kukusanya maziwa
|
agriculture
|
|
17.34
|
Tafadhali andika kinachosemwa.
|
mikono ambayo inashika mahindi yaliyokaushwa kuna mahindi mengi yanaonekana chini yakiashiria mavuno mazao haya ni muhimu kwa chakula na biashara
|
agriculture
|
|
18.84
|
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
|
ngombe wanaokamulia maziwa kutumia mashine maziwa yanakusanywa kwenye vyombo vikubwa vya plastiki vifaa vimetundikwa vizuri vikiwalisha mbinu za kisasa za ufugaji
|
agriculture
|
|
21
|
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
|
mtu ambaye amevaa fulana nyeusi na saa ya mkono ameshika mmea wa muhidi ambao umeliwa na wadudu anaukagua mmea huu na mduu huyo ambaye ama kichwa cha rangi ya manjano na mwili wa kijani kibichi unafichuluwa
|
agriculture
|
|
23.639999
|
Tafadhali andika chini maneno yanayozungumzwa.
|
watu sita wamesimama wakiwa kwenye shughuli ya kutayarisha maziwa mala ambayo huliwa pamoja na ugalimmoja wao anachota maziwa hayo kutoka kwenye sufuria na kupitia kwa vichungi ambavyo wenzake watatu wameshika wanatenganisha kefiri na maji ya rangi ya manjano yanamwagika kwenye gunia
|
agriculture
|
|
23.52
|
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
|
mtu mmoja ambaye amesimama mbele ya mikungu ya ndizi iliyopangwa kwa uangalifu ardhini ameushika mkungu mmoja kana kwamba anaanda kupeleka kwenye gari lililoegeshwa kando yake buti la gari hilo limefunguliwa kuonyesha kwamba linaweza kuwa tayari kwa ajili ya kusafirisha ndizi hizo
|
agriculture
|
|
18.540001
|
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
|
hapa bila shaka ni shambani na katika shamba hili kuna mimea ya mahindi a mimea hii ya mahindi kuna ile ambayo imepata ugonjwa ambao unaleta hasara kwa mavuno ya mahindi
|
agriculture
|
|
15.42
|
Tafadhali andika chini maneno yanayozungumzwa.
|
ngombe akikamuliwa maziwa na mtu aliyejifunga nguo na kukaa chini ana ndoo ya buluu ngombe ana pembe mbili
|
agriculture
|
|
24.360001
|
Andika kile kilichosemwa.
|
hapa bilashaka ni katika zizi la ngombe na ni katika zizi la kisasa kuna mkulima ambaye anafanya shughuli za usafi katika zizi lenyewe ili ngombe aweze kuishi kwenye sehemu ambayo ni safi na kumuepusha kutokana na magonjwa ambayo yanatokana na uchafu
|
agriculture
|
|
18.66
|
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
|
ngombe mweusi na mwenye madoa meupe amesimama na kuna mja aliyevalia kabuti la rangi ya njano na ana kifaa mgongoni ambacho anatumia kumnyunyizia ngombe huyo dawa ishara kuwa ukulima bora unaendelea katika eneo hilo
|
agriculture
|
|
16.02
|
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
|
hapa bila shaka ni sokoni na katika soko hili kuna kibanda hiki kimoja ambacho kinauza mazao ya kilimo almaarufu ndizi ndizi hizi za kuhivisha
|
agriculture
|
|
15.78
|
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
|
zao la kilimo zao hili ni ndizi ndizi yenyewe inaonekana kukomaa vizuri na yenye afya ndizi yenyewe bado iko mtini na iko tayari kuvunwa sasa
|
agriculture
|
|
19.74
|
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
|
hapa bila shaka ni kituo cha kuhifadhi maziwa ambayo yanatokana na ngombe maziwa haya yanaangaliwa iwapo yapo sawa na baadae kuweza kuhifadhiwa katika vifaa spesheli vya kuhifadhi maziwa
|
agriculture
|
|
16.799999
|
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
|
nyumba ya mawe na mabati juu yake na mbao ambapo ngombe wanaingia kusafishwa ili kutolewa wadudu wanao wanyonya damu kwenye ngozi yao mandhari haya yakieleza zaidi kuhusu ukulima bora katika eneo hilo
|
agriculture
|
|
17.4
|
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
|
hapa bilashaka ni ndani ya zizi la kisasa na katika zizi hili la kisasa kuna ngombe wengi ambao wanakamwa kwa kutumia njia za kisasa
|
agriculture
|
|
19.379999
|
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
|
tenki ndogo za chuma zinazotumiwa kubeba maziwa kuna ishara ya ngombe kwenye ukuta iliyobandikwa na waja wawili wanaoshughulikia maziwa hayo madhari haya yakiashiria zaidi kuhusu ukulima bora unaoendelea katika sehemu hiyo
|
agriculture
|
|
19.139999
|
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
|
baadhi ya watu wanawake kwa waume wamesimama kwenye kikundi wakishughulika na maziwa ya kienyeji ya kisiiwanajuja ili kutenganisha sehemu ya maji na sehemu ya mtindi kwa kutumia vifaa kama vile vijisahani vikubwa
|
agriculture
|
|
18.299999
|
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
|
hapa bilashaka ni shambani na katika shamba hili kuna mimea ya ndizi na kuna mkulima ambaye amekuja kuyaangalia matunda yake ya ndizi iwapo yapo tayari ili aweze kuyavuna
|
agriculture
|
|
17.82
|
Andika kile kilichosemwa.
|
hapa bila shaka ni shambani ambapo kuna mkulima ambaye anauza maziwa na kuna yule ambaye amekuja kuinunua maziwa na kuyapeleka sokoni kwa ajili ya kuyauza
|
agriculture
|
|
19.139999
|
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
|
hapa bila shaka ni shambani na katika eneo hili la shamba kuna mimea ya ndizi ambapo kuna migomba ambayo bado haijazaa matunda na kuna ile ambayo imezaa matunda tayari kuvunwa
|
agriculture
|
|
19.98
|
Tafadhali andika kinachosemwa.
|
hapa ni katika eneo mojawapo la kuhifadhi maziwa ambapo maziwa yanatolewa shambani na kuletwa katika kituo hiki na kuhifadhiwa katika vyombo hivi spesheli vya kuhifadhi maziwa
|
agriculture
|
|
17.040001
|
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
|
ngombe aliyefungwa miguu yake ya nyuma na kamba na mwanamke huyo ambaye amechuchumaa kumkamua ngombe huyo na ndoo chini inayobeba maziwa hayo ishara kuwa ukulima bora unaenea katika eneo hilo
|
agriculture
|
|
17.16
|
Andika kile kilichosemwa.
|
hapa bila shaka ni zizinindani ya zizi ambapo mkulima huyu anajishughulisha katika shughuli ya kumkama ngombe wake maziwa huku akihifadhi kwenye ndoo
|
agriculture
|
|
17.459999
|
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
|
hapa ni katika mojawapo ya zizi la kisasa na katika zizi hili kuna ngombe ambaye bado yuko malishoni huku akiendelea kukamwa kwa kutumia mbinu za kisasa za kukama ngombe
|
agriculture
|
|
18.360001
|
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
|
mlango mkuu ambao ni wa rangi nyeusi kuna pikipiki ambao imebeba mitungi ya maziwa kuna mtu aliyesimama kando yake kuna mwingine ambaye ako na koti ya rangi ya manjano pia ako kando ya pikipiki
|
agriculture
|
|
16.08
|
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
|
matawi marefu yenye rangi ya kijani yanayopendeza na anga yenye mawingu meupe na samawati kuonyesha mwonekano wa jua katika eneo hilo na mandhari haya yakieleza zaidi kuhusu ukulima bora
|
agriculture
|
|
16.440001
|
Andika kile kilichosemwa.
|
duka la kuuza maziwa ambalo limefunguliwa na watu wawili waliosimama pale nje na aliyevalia koti nyeupe na kofia nyeupe kichwani pia kuna mitungi ambayo ni ya rangi ya kijivu
|
agriculture
|
|
16.26
|
Andika unachosikia, tafadhali.
|
ngombe wa rangi nyeupe ambaye ananyunyiziwa dawa na mkulima ambaye ana shungi la nywele kutumia mashine kuna watu pale kando ambao wanatembea pia kuna miti ya rangi ya kijani
|
agriculture
|
|
18.299999
|
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
|
ngombe ambaye ni wa rangi nyeusi na nyeupe ananyunyiziwa dawa na mkulima ambaye amevalia kofia na koti ya rangi ya manjano kutumia kifaa kuna mbao na mabati pia kuna ndizi
|
agriculture
|
|
18.66
|
Andika unachosikia, tafadhali.
|
wanawake watano ambapo mmoja anapakuwa chakula kuna sahani tatu ya rangi ya kijani mbili ya rangi ya buluu na sufuria kuna miti ambayo ina matawi ya rangi ya kijani na ukuta
|
agriculture
|
|
19.799999
|
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
|
tanki kubwa za chuma zilizofunikwa zingine zimefungwa juu ya pikipiki na moja kuwekelewa chini na mlango mkubwa wa rangi nyeusi mandhari haya yanaashiria ukulima bora unaenea katika eneo hilo na usafirishaji wa bidhaa hizo
|
agriculture
|
|
21.9
|
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
|
wanawake waliovaa sare nyeupe na barakoa wanamimia maziwa kutoka kwenye sufuria kubwa ya chuma mmoja anashikilia chuchio la plastiki ya kijani huku mwingine akitumia kijiko cha rangi ya blu kuhamisha maziwa kwenye pakiti wengine wanasimama nyuma wakitazama
|
agriculture
|
|
17.52
|
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
|
mziwa mkubwa wa ndizi umewekwa kwenye sakafu ya vigaa pembezoni mwa ukuta sehemu nyingine zikiwa ndani ya kreti ya plastiki ya kijibu tayari kuuzwa au kusafirishwa mahali pengine
|
agriculture
|
|
21.360001
|
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
|
ngombe moja mbili tatu nne tano sita saba nane tisa zimo zizini ngombe sita zimelala chini ngombe tatu zimesimama kando yao kuna chakula
|
agriculture
|
|
17.879999
|
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
|
ndizi zenye migomba mirefu na zenye rangi ya kijani zinazopangwa kwenda juu na kuna ishara ya mja huyo ambaye ameinua ndizi hiyo mandhari haya yanaeleza zaidi ukulima bora unaendelea katika eneo hilo
|
agriculture
|
|
15.96
|
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
|
mahindi iliyokauka kondeni na ishara ya kuwa na jua kali katika mazingira hayo na nyuma kuna mti mrefu wenye matawi kudhihirisha kuwa ukulima upo katika eneo hilo
|
agriculture
|
|
17.879999
|
Andika kile kilichosemwa.
|
mhudumu huyu anahakikishakwamba maziwa yaliyokuwa katika sehemu hii yanabaki kuwa katika hali shwari na maziwa haya yanaweza kuifadhiwa kwa njia ambao ni salama ili akaweza kufika sokoni kwa njia mbao ni nzuri na inaweza kuwafurahgisha wateia mbao ni wa maziwa
|
agriculture
|
|
18.66
|
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
|
ndizi hizi ambazo zinaonekana kuwa zina nawiri vizuri zipo katika hali ya kumea ndizi hizi ambazo zanyunyiziwa maji ambayo yanapita kule chini yana hakikisha kwamba zina mea katika ubora wake na zinapewa virutubish ambavyo vinafaa hili ziweze kumea
|
agriculture
|
|
17.940001
|
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
|
mkulima huyu ambaye anachukua picha ndani ya shamba lake shamba la mboga na shamba la mahindi anaonekana kama anatabasamu mkulima huyu ambaye amejutama katika shamba hili anaonekana huwa na mwenye wingi wa matumaini katika shugli nzima anayoifanya
|
agriculture
|
|
18.959999
|
Andika kile kilichosemwa.
|
ndizi hizi ambazo zinaonekana kunawiri zina urefu wa mita nyingi inaonekana kuwa zinanawiri vizuri na kisha kando kando ya ndizi hizi ni miti ambayo imenawiri pia vizuri eneo hili linaonyesha mazingira mazuri ya ukulima wa ndizi
|
agriculture
|
|
19.98
|
Tafadhali andika kinachosemwa.
|
ukulima wa ndizi unaweza kuwa na hasara pale ambapo kiangazi hujandizi hizi ambazo zimekumbwa na kiangazi zimeweza kukauka kiasi kwamba haiwezi kuonekana rangi kawaida ya ndizi wakati kiangazi kinakuja huadhiri sana mimea na huleta hasara katika ukulima
|
agriculture
|
|
18.18
|
Andika kile kilichosemwa.
|
maziwa yaliyochacha almaarufu maziwa lala ni mojawapo ya maziwa ambayo yanaweza kuliwa nchini kenya maziwa haya ambayo yameonekana kuganda na yanaonekana kuwa na kijiko ndani yake ni mojawapo ya maziwa ambayo hupendwa sana na watu
|
agriculture
|
|
19.379999
|
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
|
ukulima wa ndizi ni mojawapo ya ukulima ambao hunufaisha sana ndizi hizi ambazo zinaonekana kunawiri na ambazo ni za rangi ya kijani zinaonekana kuwa katika sehemu iliyo na rotuba nzuri ndizi hizi ambazo bado hazijatoa mazao yao zina matumaini ya kutoa mazao
|
agriculture
|
|
18.959999
|
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
|
ukulima wa ndizi unaonekana kunawiri katika sehemu hii ndizi mbali mbali zile ambazo zimekomaa na zile ambazo zinamea zinaonekana katika picha ambayo tunaona katika picha hii tunaona ndizi ambazo ni za rangi ya kijani ikiwa zimekomaa na kisha ndizi nyingine ambazo zinakuw
|
agriculture
|
|
19.799999
|
Andika kile kilichosemwa.
|
ndizi hii inapatikana katika mkunga wa ndizi na inazidi kuwa ndizi ambayo inakua ndizi hii ambayo ni ya kijani kibichi inaonekana kunawiri vizuri kisha inaonekana kwamba itachukua muda ili ikaweza kukua ndipo ikaweze kutolewa kuivishwa au kupikwa
|
agriculture
|
|
16.74
|
Andika kile kilichosemwa.
|
ni shamba la ndizi ambapo ndizi zimekatwa kuna zingine bado zimebaki kwa shamba halafu kuna kijana pia amesimama hapo mbele
|
agriculture
|
|
21.059999
|
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
|
mama mmoja ambaye amevalia nguo ya kawia amesimamambele yake kuna ndizimkono wake wa kushoto ameshikiria ndizi mojamkono wake wa kulia ameshikiria csboxcs ambayo ni kama imebeba vitunyuma yake kuna shamba la ndizi
|
agriculture
|
|
24.6
|
Tafadhali andika chini maneno yanayozungumzwa.
|
shamba la migomba huku mikungu mingi ya ndizi zenye rangi ya kijani ikiwa bado inaninginia kwenye miti majani mapana ya migomba yanaonekana wazi ikionesha ukuaji wa mimea njia ndogo inaonekana katikati ya shamba
|
agriculture
|
|
15.54
|
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
|
ndizi nyingi zilizoiva zimewekwa chini na kwenye chumba ndizi hizi zina rangi ya manjano na zinaonekana ziko tayari kuliwa
|
agriculture
|
|
17.940001
|
Andika unachosikia, tafadhali.
|
ndizi hii imeonekana kukomaa ndizi hii ambayo ni ya rangi ya kijani inaonyesha ukomavu wake kisha inaonyesha kwamba ipo karibu kutolewa kwenye mgomba ama kwenye ndizi ili ikaweze kuivishwa au kupikwa kama chakula
|
agriculture
|
|
20.34
|
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
|
mimea hii ni mimea ya ndizi ambazo zinakuzwa ndizi hizi ambazo ni ndogo zimewekwa katika vijikaratasi ili angalau iweze kumea na kunawiri kabla ya kupelekwa shambani ndizi hizi ambazo zina rangi ya kaa rangi ya kijani zinaonekana kuwa za afya nzuri
|
agriculture
|
|
15.36
|
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
|
ngombe wawili wamefariki wamo chini wamelala kwenye mchanga nyasi
|
agriculture
|
|
16.02
|
Tafadhali nakili maneno yanayosemwa.
|
mimea za mahindi mchanga nyasi mimea zisizotakikana miti
|
agriculture
|
|
18.299999
|
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
|
watu watatu wamevalia nyavu za neti kwenye kichwa sare nyeupe za kujikinga buti za rangi nyeupe kwenye miguu mmoja ameketi wawili wanapika
|
agriculture
|
|
22.620001
|
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
|
huyu mtu ameketi mbele ya meza ana ndizi mkononi ndizi imeiva na ameitoa maganda yake kuna sahani juu ya meza ambayo angependa kuweka ndizi hio kuna ndizi nyingine kando yake
|
agriculture
|
|
18.059999
|
Andika unachosikia, tafadhali.
|
mtu akiwa ameshikilia ganda la ndizi kwenye mkono mmoja mkono mwigine ndizi lenyewe kuna mkundu wa ndizi sahani na kitabu
|
agriculture
|
|
22.02
|
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
|
kuna watu watatu ambao wamesimama kuna mmoja ambaye ameshikilia mgomba wa ndizi na anaupanda kuna wawili ambao wanatazama kando yao kuna pikipiki na pia kuna migomba mingine kando yao nyuma yao kuna miti mirefu
|
agriculture
|
|
19.5
|
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
|
kuna ndizi ambayo imejulikana kama kisukari imepangwa kwa ajili ya kuuuzwa kuna wa kike wawili ambao wanaendelea kuzipanga nyuma yao kuna watu ambao wanatazama upangaji wa ndizi hizi
|
agriculture
|
|
18.120001
|
Tafadhali andika chini maneno yanayozungumzwa.
|
kitambaa kikubwa kimewekelewa nyasi kuna mtu ambaye anatandaza nyasi hizo kuna watu ambao wako katika mawasiliano wakijadili
|
agriculture
|
|
15.72
|
Andika maneno yanayozungumzwa, tafadhali.
|
kuna mikundu mikubwa kwa midogo kwa ndizi moja mbili tatu nne tano zimewekelewa chini
|
agriculture
|
|
19.08
|
Tafadhali andika kinachosemwa.
|
ni shambani katika shamba hili kuna migomba ya ndizi ambayo imepandwa ni changa kisha kuna paipu ambazo zimewekwa ambazo zinaachilia maji kwenye mimea hii
|
agriculture
|
|
22.02
|
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
|
hawa ni ngombe wawili ngombe hawo wanatembea ndani ya dawa dawa hiyo inayotibu ugonjwa wa miguu wa mifugo nyuma ya hawo wanyama wawili ama mifugo hii kuna wengine ambao wamepiga foleni kipita pabahaba
|
agriculture
|
|
15.72
|
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
|
huyu ni mtu amevalia meski na buti anajihami hili aweze kuangalia usafi wa maziwa pia kuna jerikani za maziwa
|
agriculture
|
|
23.34
|
Andika unachosikia, tafadhali.
|
hili ni shamba shamba hili lina mimea inayotokea chini mimea michanga kisha kuna migomba ambayo imepandwa pia ndio inaanza kukua kisha kando ya haya katika upande wa kulia na sehemu ya mbele kuna migomba ya ndizi na miti
|
agriculture
|
|
20.219999
|
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
|
hiki ni chumba ambacho kinaonekana kina hifadhi ndizi na katika chumba hiki kuna kreti ambayo imetumika kama kifaa cha kubebea ndizi hizi na kwenye sakafu kuna ndizi nyingi ambayo imehifadhiwa
|
agriculture
|
|
17.58
|
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
|
ndoo ya maziwa mwanamke ameinama ngombe amefungwa kamba miguu ya nyuma miwili anakamua maziwa kutoka titi la ngombe amevalia shati na sketi
|
agriculture
|
|
17.34
|
Andika unachosikia, tafadhali.
|
watu ambao wamejikusanya katika sehemu hii ambapo ni ya kuweka chakula cha ngombe chakula ambacho kinahifadhiwa kwa njia ya sailo katika lugha ya kingereza nimojawapo ya njia za kuifadhi chakula ili kikatumika baadaye
|
agriculture
|
|
17.34
|
Andika unachosikia, tafadhali.
|
ndizi hizi ambazo ni za wingi zimepakiwa mbele ya magari amabyo yanapakia ndizi hizi kwa jumla watu wengi ambao wanjihusisha kubeba na kupakia kwenye magari haya wanaonyesha kwamba sehemu hii ni ya uchukuzi hasa wa ndizi
|
agriculture
|
|
19.68
|
Tafadhali andika maneno yanayosemwa.
|
ndizi ambapo ingine ni ya rangi ya kijani ingine ni ya rangi manjano kuna mtu aliyeshikilia kuna nyumba na udongo pia kuna miti na mabati
|
agriculture
|
|
17.34
|
Tafadhali andika chini maneno yanayozungumzwa.
|
watu watatu mmoja amevalia kofia nyeupe na koti nyeupe wanamwaga maziwa kwa kichungi wawili wamo garini mmoja anajaribu kutoa mitungi ya maziwa mwingine anajaribu kushuka
|
agriculture
|
|
18.780001
|
Andika kwa haraka maneno yanayosemwa.
|
migomba ya ndizi ambayo ingine imeharibika kuna mti na mlima anga ambayo ni ya rngi ya samawati pia kuna nyasi ambayo ni ya rangi ya kijani na kuna posti ya stima
|
agriculture
|
|
16.32
|
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
|
nyumba ambayo imejengwa kwa udongo kuna ndizi ambazo zimepandwa kuna mama ambaye amevalia blausi ya rangi nyeusi anajaribu kupanda
|
agriculture
|
|
21.42
|
Unaweza kuandika maneno yanayosemwa?
|
watu wawili mwanaume na mwanamke wote wameinama mwanaume ameshikilia mtungi wa rangi ya kijani amevalia longi ya rangi ya csbluecs na shati ya rangi nyeusi mwanamke pia ameshikilia mkebe na kuna beseni ya rangi ya buluu
|
agriculture
|
|
18.780001
|
Weka maneno yanayosemwa katika maandishi.
|
ndizi nyingi ambayo imepndwa kwenye shambakuna mtu aliyevalia kofia ya rangi nyekundu na shati ya rangi nyeupe pia na suruali ya rangi nyeupeamesimama amejishikilia kiuno
|
agriculture
|
|
18.18
|
Tafadhali andika kwa maandishi kile kinachosemwa.
|
shamba la mahindi ya rangi ya kijani pia kuna nyasi kuna mtu ambaye ameinama pale akitabasamu amevalia shati ya rangi nyeusi pia na cs longi cs pia ya rangi nyeusi
|
agriculture
|
|
18.42
|
Tafadhali andika chini maneno yanayozungumzwa.
|
ndizi nyingi ambao iko chini kuna miti pale nyuma na vibanda vingine na lori ambapo watu wengine wanajaribu kushukisha ndizi zingine kuna jengo na pia kuna anga
|
agriculture
|
End of preview. Expand
in Data Studio
README.md exists but content is empty.
- Downloads last month
- 623